Ombilako lishashugulikiwa baada ya muda nfupi nakuapa majibu,please naomba muda kidogo.
Hili Duka liko Johannesburg wanazo na bei ziko sawa na Duka la Pretoria vipi,una maoni gani?
@gp-logistics goldwagen wana bei sawa kila duka ila pretoria duka linaitwa imcomex ndio wana bei nzuri ya rand 8000
hii ndio ya imcomex
Sawa kesho nitaifanyia kazi nitakupa majibu.
Habari
Update
Nimepata invoice ya Rand 8,045.40.
kwajili ya items 5.
Shock-ups 4
Oil Filter 1
unana maoni gani?
@gp-logistics Oil filter nahitaji 3, sikuweza pata invoice ya filter boss, so hopefully ukifika utajua, nilikuwa naomba kama itawezekana kuulizia kwa Honda dealership yoyote kama wanauza compliance bushing za control arm (sorry kwenye mtandao hawalist parts) model number 51396SWAE02 na 51395SWAE02
Naomba nikuulizie kwenye maduka ya Johanessburge.@gp-logistics Oil filter nahitaji 3, sikuweza pata invoice ya filter boss, so hopefully ukifika utajua, nilikuwa naomba kama itawezekana kuulizia kwa Honda dealership yoyote kama wanauza compliance bushing za control arm (sorry kwenye mtandao hawalist parts) model number 51396SWAE02 na 51395SWAE02
Kwenye Duka la Pretoria hawana hii oil filter na Bush.
@gp-logistics Duka la Honda ama imcomex? na shock umepata mkuu?
@ubuntuscofield Shock up invoice yake iko hapo juu kutoka imcomex, wao wana shock up tu, labda oil filter na Bush nikuchukulia sehemu tofauti na imcomex?
@gp-logistics bush unaweza chukua kwenye service centre yoyote ya Honda. Lakini wawe honda genuine dealer au distributor wako sehem zote joburg hata pretoria maana nahitaji ziwe original made in Japan
Hii Bush nimekosa boss wangu,Oil Filter nimepata bei yake ni Rand 160.@gp-logistics bush unaweza chukua kwenye service centre yoyote ya Honda. Lakini wawe honda genuine dealer au distributor wako sehem zote joburg hata pretoria maana nahitaji ziwe original made in Japan
Nangoja maelekezo kutoka kwako.
Okay nikitaka za mbele mbili tu maana budget imepigwa mtetemeko boss