Kama unahitaji Madereva wenye sifa kama hizi
Kama unataka kujua gharama zifuatazo
Comment chini,share na subscribe hii Post.
Kusafirisha Gari aina ya Toyota Vanguard kutoka Dar hadi mwanza matuta ni bei gani na gharama zako ni bei gani?
@okra Gharama za mafuta inategemea mambo yafutayo
Kama ni chess number bila mzigo wala abilia, bajet ya lita 200 had 250 Mwanza lifika,posho utatoa 300,000.