Unafikiri kwanini wimbi la watu wanapanda Mabasi,Daladala Pikipiki wengine kutoka mkoa moja kwenda mkoa mwinginw kwajili ya kunua nidhaa kwajili ya matumizi na biashara badala ya kununua kwanjia ya mtandao.
Wakazi wa Dar Es Salaam pia usafiri kutoka sehemu mbalimbali kwenda Kariakoo na masaoko mengine kwajili ya kununua vitu kwajili ya kunua vitu kwajili ya matumizi bibafsi pamoja na biashara jambo ambalo usababisha foleni,msongamano,hadi baadhi ya watu kuibiwa pesa zao nakurudi bila kutimiza malengo yao.
Swali ni je kwanini watu wanaona ni bora kwenda Sokoni au Dukani kuliko kutumia njoa za online,toa maoni yako kwenye comment section.
Mazoe ujenga tabia.
Zamani watu walikuwa wanatuma barua kwanjia ya post, stamp zilinunuliwa sana kipondi hicho.
Hii mada ni mzuri sana,ngoja nikae sit ya mbele.
Nchi yetu ikonyuma kilakitu,wabaongo wengi wamaishi ki-analogia wanalala wanapatausingizi na kukoroma 😓 😓 😓 😓 😓 😓 😓 😓
Kwaiyo unataka tukilala tufanyeje sana tusikorome kisa nini 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 shida nini watu kazi hatuna we are not busy
Ukiwa na mitikasi yako ya kufanya hivi unaweza kwenda sehemu kama karikoo kufanya nini kujemaa watu wengi sana kuanzia saa 10 asubuhi Magari yanapita vituoni yamaejaa hadi saa sita mchano.