Nahitaji watu wakucheza nao mchezo tunamchangia mtu moja anatoka kila siku kwakutumia reward Program kupa Points za bure,.Kama uko tayari leta jina lako hapa chini kwenye coment section mimi ni kijumbe.
Unaweza toa mani au ushauri kubore mchezo wote.
Naomba niwe namba moko.Â
Unhesema kiasi gani kila siku mtu anatapokea ingependeza sana.
Points ngapi anapewa mtu kila siku ili tukipange kuzitafuta kwa udi na ubumba.
Leteni mapenedekezo tuchangie wote tukubaliane
Namimi nimo bandugu
Hivi ndo vitu vyangu wapendwa
Nahitaji
Jana na leoÂ
NipoÂ
Fulusana
Niandike
Mchezo unaanza line?
50 ni watu wachache sana.
Nipo.
Pamoko sana.
Kijumbe unaakili sana.
GoodÂ
shalomÂ
Huu mchezo wa akili unde nimeupenda 😍 😍 😍 😍 😍 😍Â
Hii risk free nimeipenda.
Nipo
Kazi mzuriÂ