Notifications
Clear all

Kama kunamtu anakitu chochote ambacha hana kazi nacho post hapa

(@fundi-viatu)
Honorable Member
Joined: 2 months ago
Posts: 9
Topic starter   [#1471]

Habari wadau wa kuinuana 

 

Kama unakitu chochote ambacho huna kazi nacho iwe kwako nyumbani au Oficen naomba ukipost hapa kisha  watu wanakihitaji watawasiliana na wewe kisha utawainua.Asante sana.



   
Lux reacted
ReplyQuote
Merry Ommy
(@merry-ommy)
20K PAY Cash
Joined: 2 years ago
Posts: 12
 

Umeongea pwinti sana



   
ReplyQuote
Lux
 Lux
(@lux)
Service Provider
Joined: 11 months ago
Posts: 24
 

Kama kuna mtu anataka pochi bahati mbaya picha sina lakini na pochi nyingi sana home.nitumie dm kama kuna mtu anazitaka nimtumie picha,



   
ReplyQuote

(@fundi-viatu)
Honorable Member
Joined: 2 months ago
Posts: 9
Topic starter  

Kuna watu wengine wanachoma vitu moto jamani sio kweli watu wa nashida sana huku mtaani usifanye hivyo.



   
ReplyQuote
(@fundi-viatu)
Honorable Member
Joined: 2 months ago
Posts: 9
Topic starter  

Balikiwe sana



   
ReplyQuote
Doreen Jimy Kagaruki
(@doreen-jimy-kagaruki)
Service Provider
Joined: 8 months ago
Posts: 15
 

Nangua nyingi sana.



   
ReplyQuote

Tatu
 Tatu
(@tatu)
3M Trade Bond
Joined: 2 years ago
Posts: 19
 

Nanguo nyingi sana



   
ReplyQuote