Mtu mwenye njaa anataka lunch comment chini nitakutumia pesa ya kula mchana.
Kaka na njaa nimekutumia namba kwenye private Message nitumie nipate lunch please.
Tayari nimekutumia angalia salio lako.
Ungeweka na mashart tujue kama hii lunch inatoka kwa mazingira gani
Hakuna kitu kama hicho ni charity mrembo usiogope.
Sawa nikutuia tumia namba pm fanya kweli
Tayari nimekutumia
Asante boss