Notifications
Clear all

Tunasaidia watu wanaotaka kwenda nje ya nchi kwajili ya matibabu

Rola
 Rola
(@rola)
Premium Member Mjasiriamali ✅
Joined: 2 years ago
Posts: 31
Topic starter   [#1395]
  1. Kama unahitaji kuja India kwajili ya matibabu comment hapa

 

 

  1. Kama unahitaji msaada wavitu vifuatavyo kwawale wanataka kuja India kwajili ya matibabu naomba ukoment chini.
  2. Kutafutiwa Hospitali kulingana na Ugonjwa unaoumwa 
  3. Kuatafutiwa Usafiri wa kukupokea aiport 
  4. Kutafuta sehemu ya kukaa kipindi unatibiwa
  5. Kama unahitaji kuagaiza madawa 
  6. Mtu wa kufafanua kiswahili kila hatua 



   
ReplyQuote