Mwenye vifaa vya car washing na vifaa vya kufanya Service za Magari naomba mchanganuo.
Naomba ainisha hivyo vifaa vijulike ni nini na nini nitakupa bei.
Nitakupa list ya vifaa vyoteย
Naingoja.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darโ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.โ โ ๐๐ช๐๐ฟ
Nahitaji water pump ya moja na pipe ndefu og yenye ukubwa wa kawaida sio kubwa sana au ndigo sana.
ย
Gun mbili zote zitumike kwa pamoja yaani zifunge kwenye pump moja.
ย
iwe ya mafuta sio umeme pia kama kuna fiaa Kama air fresh Sabun za kuoshe Magari nitumie picha na bei.
@dickson-asanga sawa.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darโ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.โ โ ๐๐ช๐๐ฟ
@dickson-asanga ulipata mzigo wako?
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darโ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.โ โ ๐๐ช๐๐ฟ