Notifications
Clear all

Vacation Notoa Offa ya Watu 10 Kwenda Vacation, Holiday,Mapunziko nchini Africa Kusini

118 Posts
44 Users
39 Reactions
493 Views
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
Topic starter
 

 

image

Natafuta watu 10 watakaokuwa tayari kusafiri kutoka Tanzania na kukutana na mimi   Africa kusini Durban.

 

#Muda

Tutakaa kunda wa  wa siku tano tu,nimefanya book ya tarehe 05/09/2024 

 

#Mada 

kujadili mambo mbalimbali kuhusu mtanda wote wa digxam,Kwasasa niko Japan nitaondoka japan moja kwamoja Africa Kusini kisha nitakuja huko Tanzania na kurudi Japan.

#Sehemu Tutafika 

uShaka Marine World ni sehemu mzuri sana unaweza ku goole nakupaangalia.

 

#Sifa za waombaji:

1.Jisajili

2.Jaza hii Form  kisha Comment kwenye hii thread 

3.Kigezo cha kwanza tutaangalia muda ambo umejisajili,nfano watu wawili wakituma maombi let say moja kajisajili leo mwingine alijisajili jana tutanchukua aliejisajili jana.

4.Pia ukiwahi ku comment hapa chini.

5.Passport kubwa ya kitabu.

6.Chanjo ya Yellow fever 

image

 

4.Umeshikiri mambo mangapi kuchangia hoja mbalimbali za kibiashara au kununua bidhaa kupitia kwenye app hii kutoka kwa wauzaji waki sehemu mbalimbali.

5.Pasport kama huna ni juu yetu.

6.Tiket ya ndege kwenda na kurudi

7.Chakula 

8.Malazi

9.Posho

10.Mchakato utafanyika ndani ya siku 10 kuanzia leo tarehe 05/08/2021 ,washindi watatangazwa tarehe 15/08/2024 kuwa wa kwanza. 

 

Imedhamini na Digxam wote mnakaribishwa.

 

 

 

 

 

 
Posted : August 5, 2024 7:32 am
Ngaliba
(@ngaliba)
Posts: 38
Deposit 100,000
 

@digxam @Veronica-Victor  yuko wapi siku hizi?

 
Posted : August 17, 2024 9:51 am
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
Topic starter
 

@ngaliba Nipo karibu.

 
Posted : August 18, 2024 4:55 am
Khadija Omary
(@khadija-omary)
Posts: 11
0.000
 

Asante japokuwa  marafiki zangu wote sijaona hata moja

 
Posted : August 18, 2024 7:57 am
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
Topic starter
 

@khadija-omary Siku nyingine.

 
Posted : August 19, 2024 7:20 am
Bila Bila reacted
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
Topic starter
 

@khadija-omary Siku nyingine.

 
Posted : August 19, 2024 7:20 am
Bila Bila reacted

THIS IS AN ADVEVERTISING SPACE.

The low-Price Managed ADs Is Solution For Everyone .

This is An Offer!! Each ad is $1 Per Week.

Bila Bila
(@bila-bila)
Posts: 6
Customer Current Balance 5,000,000
 

@veronica-victor Vero nimefatilia comments zako nimefurahi sana wewe ni boss lady kiukweli kutoka moyoni nimetokea kukupenda bure.

 
Posted : August 19, 2024 7:47 am
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
Topic starter
 

@bila-bila Asante mpenzi,Kawaida mbona.

 
Posted : August 19, 2024 7:48 am
Bila Bila
(@bila-bila)
Posts: 6
Customer Current Balance 5,000,000
 

@veronica-victor Hapana nisikile mimi nachokuambia.

 
Posted : August 19, 2024 7:50 am
Jayleen
(@jayleen)
Posts: 14
Seller
 

Asante sana.

 
Posted : August 19, 2024 8:33 am
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
Topic starter
 

@jayleen Cool

 
Posted : August 20, 2024 7:29 am
(@gemimah)
Posts: 6
Deposit 200,000
 

Shosist na mimi nimo aiseeh 

 
Posted : August 20, 2024 7:37 am

THIS IS AN ADVEVERTISING SPACE.

The low-Price Managed ADs Is Solution For Everyone .

This is An Offer!! Each ad is $1 Per Week.

Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
Topic starter
 

@gemimah Umechelewa next time.

 
Posted : August 22, 2024 4:32 am
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
Topic starter
 

Safari imeiva Guys.

 
Posted : August 22, 2024 4:33 am
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
Topic starter
 

Hii imenda kama ilivyopangawa nashuru Mungu.

 
Posted : September 5, 2024 4:39 am
Marioh reacted
(@marioh)
Posts: 7
Deposit 200,000
 

Kuna video moja niliona uko beach unaogerea kisha ukaifuta vipi kwanini ullifuta mbona ilikua kawaida tu.

 
Posted : September 5, 2024 4:48 am
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
Topic starter
 
IMG 20240823 WA0000
 
Posted : September 5, 2024 4:50 am
Marioh reacted
(@marioh)
Posts: 7
Deposit 200,000
 

@veronica-victor Nataka ile video ulipost nakufuta.

 
Posted : September 5, 2024 4:53 am

THIS IS AN ADVEVERTISING SPACE.

The low-Price Managed ADs Is Solution For Everyone .

This is An Offer!! Each ad is $1 Per Week.

Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
Topic starter
 

@marioh Video gani mimi sina hiyo video acha uzushi.

 
Posted : September 5, 2024 4:55 am
Page 2 / 2

Digxam

FREE
VIEW