Natafuta watu 10 watakaokuwa tayari kusafiri kutoka Tanzania na kukutana na mimi Africa kusini Durban.
#Muda
Tutakaa kunda wa wa siku tano tu,nimefanya book ya tarehe 05/09/2024
#Mada
kujadili mambo mbalimbali kuhusu mtanda wote wa digxam,Kwasasa niko Japan nitaondoka japan moja kwamoja Africa Kusini kisha nitakuja huko Tanzania na kurudi Japan.
#Sehemu Tutafika
uShaka Marine World ni sehemu mzuri sana unaweza ku goole nakupaangalia.
#Sifa za waombaji:
1.Jisajili
2.Jaza hii Form kisha Comment kwenye hii thread
3.Kigezo cha kwanza tutaangalia muda ambo umejisajili,nfano watu wawili wakituma maombi let say moja kajisajili leo mwingine alijisajili jana tutanchukua aliejisajili jana.
4.Pia ukiwahi ku comment hapa chini.
5.Passport kubwa ya kitabu.
6.Chanjo ya Yellow fever
4.Umeshikiri mambo mangapi kuchangia hoja mbalimbali za kibiashara au kununua bidhaa kupitia kwenye app hii kutoka kwa wauzaji waki sehemu mbalimbali.
5.Pasport kama huna ni juu yetu.
6.Tiket ya ndege kwenda na kurudi
7.Chakula
8.Malazi
9.Posho
10.Mchakato utafanyika ndani ya siku 10 kuanzia leo tarehe 05/08/2021 ,washindi watatangazwa tarehe 15/08/2024 kuwa wa kwanza.
Imedhamini na Digxam wote mnakaribishwa.
Sister mimi hata passport nayo naomba hii trip niwemo.
NJia peke ya kutuma maombi yako ni comment yako hapa.
Naomba niwemo kwenye list
Niko tayari 😍 🤩 😍 🤩 😍 🤩 😍 🤩
@sabini Yuko wapi kama ni member hapa Hakikisha nacoment hapa,
Nitawapoke karibuni sana.
@lilian-katabaro Asante sana.
Share pages zetu ujipatie Zawadi kemkemke,kama Laptops,Simu Janja,Saa za smart nk,kujiunga Bonyeza Link
@juma-sanka Umesemake boss.
Share pages zetu ujipatie Zawadi kemkemke,kama Laptops,Simu Janja,Saa za smart nk,kujiunga Bonyeza Link
@jailes-mwesigwa Asante kushiriki.
Share pages zetu ujipatie Zawadi kemkemke,kama Laptops,Simu Janja,Saa za smart nk,kujiunga Bonyeza Link
@jasusi-mweusi Asante sana.
Share pages zetu ujipatie Zawadi kemkemke,kama Laptops,Simu Janja,Saa za smart nk,kujiunga Bonyeza Link
@geofy-muhagama-a Karibu sana.
Share pages zetu ujipatie Zawadi kemkemke,kama Laptops,Simu Janja,Saa za smart nk,kujiunga Bonyeza Link
Nimepa zoom pako vizuri.
Ngoja nianze kufanya mazoezi ya salam,Ninjani Comasava.
Ozaaa!
Hii imekaa vizuri sana.
Tundoke na Custer kama vipi
cc @kababdwa
Hahoooo hii sio ya kukosa,wabongo tunaogopa kusafiri
kwani lugha gani wanatumia huko?
Habari Dada Vero
Hii ni babari njema,Digxam imekubali ombi letu la kuongeza idadi ya watu kutoka watu watano hadi 10 watakao chaguliwa kwenda kutembea nchini Africa kusini, makofi mengi na pongezi kwa uogonzi!
@veronica-victor 🌹 🌹 🌹 🌹 🌹 🌹 ❤️ 🥂 🥂 🥂 🥂 🥂 🥂 Nakupenda.
@veronica-victor Mambo ya huku kazini yanamuhusu nini sasa?
Ukimaliza mchaka wa kupata washindi naomba unitag i see kila mshindi nitampa zawadi ya bia 10 za Serengeti.
Natoa taarifa kwamba na naenda hakuna kama ya rohomba au rohomzuri inaweza kata jina langu,@veronica-Victor kaanzi hii platform kwa tabu sana nikatia moyo tuko waili leo mtu aniambie chochote naenda Vero natoa taarifa mie.
@khadija-omary Maisha yanakasi sana sikuamini@veronica-Victor kaondoka hadi nchini bila kutuaga jamani lolo.
@aginess-mkugwe Hata salamu sikuhizi sijibiwi jamani tupo mashositors wako njoo kama unalakusema hii safari inatuhusu jamani.
@jenifa Karibu umejiunga kwenye mchakato tayari kama unasifa utachaguliwa.
Honorable Members,Naomba niwakumbushe idadi ni watu 10 tu kati ya watu wote mlioko hapa au mlio koment hapa,swala la ulazima wa mtu au mtu kulazimisha kutokana na history zetu na urafiki wetu it cant work here,vigezo na mashari kuzingatiwa naomba members tuacha kushinikiza nakupanga matokeo tuache majaji watuletee idadi ya watu 10 kisha twendele na utaratibu mwingine.
Kama kuna mtu ana hoja nje ya huu mchakato wa safari ya kwenda Africa Kusini unaweza kuanzisha substation motion au kufungua thread mpya kwajili ya jambo hilo,hii thread ni kwajili ya kupata watu 10 kwajili ya kwenda kutembe nje ya nchi.
@Moderator be in order please,kama kuna mtu anavunja kanuni za mijadala kwenye hii platform utaratibu uko wazi , Thank you.
@veronica-victor Kwaiyo unamwambia Moderator atuwe kwenye black list au unampa maelekezo gani kwani sisi ni vibaka?
@aginess-mkugwe Kwani madai yako ni yapi?
Naomba unieleze pia waeleze na watu wanaosama hizi msg zako.Ukishindwa kuniambia madai yako nitakufungia kuchangia kwenye hii thread, acha utoto.
Habari dada!
@veronica-victor Sawa napitia comments.
Share pages zetu ujipatie Zawadi kemkemke,kama Laptops,Simu Janja,Saa za smart nk,kujiunga Bonyeza Link
Tuko watoto wamjini tuhizo furusa tukatoe matongotongo.
Njani muhlez!
Habari Guys,
Unapo coment hapa kwenye hii thread nisawa nakuingia kwenye droo ya mchakato lakini ukiendelea comment kwenye content mbalimbali au kufungua thread nakunzisha content zako kupitia kwenye hii website unajiweka kwenye nafasi mzuri ya kushinda safari ya kwenda South kwenye mapunziko.
share hii kwenye mitandao ya kijamii ujiongezee nafasi ya kushinda. @discover-true-love-today-ht @joseph-king @kandida @mr-nasir @siah
Watu 10 waliotimiza vigezo Wote mliopigiwa simu naomba tukutane kwenye Platform ya Matembezi (South Africa 2024) tumewatumia mwaliko jinsi ya kujiunga fanya hivi.
1.)Ingia kwenye account yako
2.) Kubali kupokea mwaliko, utakapokubali mwaliko utakuwa umejiunga kwenye hii platform ya (South Africa 2024)
3.)Tuma ujumbe au changia mada tujadili pamoja kuhusu hii safari yetu.
4.)Kama ujabahatika kuchaguliwa usijali kuna offa nyingi zinaendelea kutangazwa endelea kushiriki mijadala mbalimbali sambamba na kuuza na kununua bishara zako kutoka kwa wauzaji bidhaa kutoka kwenye mataifa mbalimbali ili ukidhi vigezo vya kushiri mashindano mbalimbali yanayo ratibiwa na Digxam
5.Kama uko kwenye list ya watu 10 unahisi kutokupata nafasi ya kusafiri naomba utoa taarifa mapema ili hii nafasi mtumpe mtu mwingine.
6.Hakuna gharama yoyote wa mchango hii safari imedhamini wa Digxam kwa asilimia 100 kwa members wote.
7.)Asante wote kwa kushiriki.
Safi sana.