Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
Mbona umeandika kama unakimbizwa? Pitia vizuri tangazo lako.
Asante nimefanya marekebisho.Mbona umeandika kama unakimbizwa? Pitia vizuri tangazo lako.
Shikamoo Digital Marketing.
50,000 kwahiyo hii 50 nime Did nisipopata washindani naichukua hii simu?
@donatha-mshamba Hapana umeambiwa hapa,50,000 + 20,000 = 70,000 kwaiyo current price ni 70,000
Currency ni Tzs kwenye mnada wangu.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
Hawa simu zao zimenyoka sana kama rula.
Sawa. 110k
Mbona nikitaka kuweka mnada wangu sioni sehemu ya kuanzia?
130k
Hii 50k ya Deposit mnada ukiisha sijashinda inakuwaje narudishiwa au ndio nitolee.
Hairudishi hii ni pesa kwajili ya kuweza kushiriki minada ya online yenye thamani kuanzia 10k hadi 1ml kwa muda wa mwaka moja.Kama utashinda mnada utapaswa kujaza hii form kisha utapigiwa simu kumalizia kiasi kilichobaki baada ya kushinda mnada wako kisha mzigo wako utasafirishwa.Hii 50k ya Deposit mnada ukiisha sijashinda inakuwaje narudishiwa au ndio nitolee.
150k
170k
190k
Hii simu 70k iko mezani nahitaka mambo yasiwe mengi.
Pamoja na chaja yake.
iPhone 14 Pro sio simu ya bei ndogo ni simu kubwa kidogo.
Lakini inafaa kama una hela ya kutosha hata kama hii sio mpya na imeumia kidogo kama inavyoonekana kwenye picha.
Kwa kiasi kikubwa bei yake inaendana na ubora wa simu
Na ni muhimu kujua kwa nini unahitaji simu ya zaidi ya milioni mbili.
naendelea kupokea offa zenu lakini bado mko mbali sana kwa bajet ya simu hii.
I mean 700,000 cash
chukua 1.5ml hii simu nahitaji.
Nitakupa 1.6 naomba tufunge mnada kaka.
Mkuu na 1.7 sina mambo mengi.
@moderator Nashauri free subscribers wasiruhusiwe kubid minada washiriki tu inataosha,mkitaka kuondoa mizaha angalia page walivyo irefusha bila sababu,mtu hata 50k ya deposit hana atawezaje kununua simu kama hii mambo amengine tuache bahana.
Kajifunze kuandika acha rohombaya utafikiri mnada wako huu au baba yako acha ujinga dogo.@moderator Nashauri free subscribers wasiruhusiwe kubid minada washiriki tu inataosha,mkitaka kuondoa mizaha angalia page walivyo irefusha bila sababu,mtu hata 50k ya deposit hana atawezaje kununua simu kama hii mambo amengine tuache bahana.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤔 🤔 🤔 🤔 🤔 🤔 🤔@moderator Nashauri free subscribers wasiruhusiwe kubid minada washiriki tu inataosha,mkitaka kuondoa mizaha angalia page walivyo irefusha bila sababu,mtu hata 50k ya deposit hana atawezaje kununua simu kama hii mambo amengine tuache bahana.
Ngoja ni subscribe hapa.
Tambo limenyooka kama rula i see.
1.5 ipo.
1.9 niletee hii simu please.
Hii sikuwepo jana.