two

Notifications
Clear all

Jumla pcs 9 nzima zinauzwa

Jonson John
(@jonson-john)
100M Trade Bond
Joined: 3 years ago
Posts: 315
Topic starter   [#1432]
toshi
toshi2
toshi3
toshi4
  • Mzigo uko Japan
  • Ulipi unapakiwa utapokea baada ya week mbili.
  • gharama pamoja usafiri na ushuru.
  • Kama unazitaka au kama unaswali comment hapa chini.

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

ReplyQuote
Kidedea
(@kidedea)
1k Pay Cash
Joined: 3 years ago
Posts: 19
 
Nahitaji moja boss.

ReplyQuote
Jonson John
(@jonson-john)
100M Trade Bond
Joined: 3 years ago
Posts: 315
Topic starter  

@kidedea Siuzi reja reja.

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

ReplyQuote

camera

Zaitun
(@zaitun)
1k Pay Cash
Joined: 2 years ago
Posts: 6
 
Adapter zake zipo?

ReplyQuote
Jonson John
(@jonson-john)
100M Trade Bond
Joined: 3 years ago
Posts: 315
Topic starter  

@zaitun Zote zipo.

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

ReplyQuote
(@kuboja)
Honorable Member
Joined: 2 years ago
Posts: 1
 
Ingia DM tuyajenge mkuu nimeku dm

ReplyQuote

ocean drive

(@kabandwa)
30K Trade Bond
Joined: 3 years ago
Posts: 20
 
Huu mzigo nautaka bro!

ReplyQuote
Mziwanda
(@mziwanda)
1k Pay Cash
Joined: 2 years ago
Posts: 8
 
Hii naziomba kwa mkopo bass

ReplyQuote
Udemy China
(@udemy-china)
Honorable Member
Joined: 1 year ago
Posts: 9
 
Chukua 100k boss 

ReplyQuote

bike

iphone tzc

camera