Notifications
Clear all

[Solved] nimeondolewa kwenye minada ya simu wakati nina 50k trade Bond hii mekaaje?

(@lutambi)
Posts: 4
50K Pay Cash
Topic starter
 

Sielewi hii nini?


 
Posted : December 31, 2025 11:01 am
Moderator reacted
Moderator
(@moderator)
Posts: 167
Moderator
 

Pole kwa usumbufu boss!

Nimefatilia vizuri Umeondolewa na Seller au mwenye mnada wake na sio sisi.Katika Masharti ya mnada wake kasema anataka watu wenye trade bond au Pay Trade kuanzaia laki moja.

Wasiliana na @Ally-Kanagawa 


 
Posted : December 31, 2025 11:21 am
(@lutambi)
Posts: 4
50K Pay Cash
Topic starter
 

@moderator Sasa itakuwaje kwani shida nini?


 
Posted : December 31, 2025 11:34 am
Digxam
(@digxam)
Posts: 72
Admin
 

@lutambi Tayari nimewarudisha wote kunzia watu wenye Trade Bond ya 5k kwendelea pole sana nendeni mkashiriki minada.


 
Posted : December 31, 2025 11:40 am
(@lutambi)
Posts: 4
50K Pay Cash
Topic starter
 

Sawa!


 
Posted : December 31, 2025 11:50 am

zoom

Digxam
(@digxam)
Posts: 72
Admin
 

@lutambi  Karibu sana.


 
Posted : December 31, 2025 11:52 am

Leave a reply

Author Name

Author Email

Title *

My Media   or drag and drop it here. Max file size 1GB
Preview 0 Revisions Saved