Notifications
Clear all

[Solved] Nachangamoto siwezi access account yangu

(@Anonymous)
Posts: 1
Topic starter
 

Nilibadilisha email nikafungua email mpya nikasaau password yangu kwenye account yangu ya Digxam 

 

Naomba mnisaidie kubadilisha email yangu ya zamani mniweke email mpya ili niweze reset password niendelelee kutumia account yangu.


 
Posted : December 28, 2025 1:01 pm
Moderator
(@moderator)
Posts: 167
Moderator
 

Pole sana kwa changamo hii

Kufanya verification ya umiliki wa account na kubadilisha email inaweza kuchukua muda mrefu sana,nakushauri achana na hiyo account ufungue account mpya.


 
Posted : December 28, 2025 1:06 pm
(@Anonymous)
Posts: 0
 

Account yangu ya biashara siwezi kufungua nyingine.


 
Posted : December 28, 2025 1:11 pm
Moderator
(@moderator)
Posts: 167
Moderator
 

Kuna transaction hata moja ulifanya kwenda kwa muuzaji au kupoke pesa kutoka kwa mununzi au kutuma pesa kuja kwetu? 


 
Posted : December 28, 2025 1:20 pm
(@Anonymous)
Posts: 0
 

Yes I did.


 
Posted : December 28, 2025 1:22 pm

Admin
(@admin)
Posts: 20
Admin
 

PM details za account yako.


 
Posted : December 28, 2025 1:36 pm
(@Anonymous)
Posts: 0
 

Naomba njia nyingine hii sioni jinsi yaku pm 💖 


 
Posted : December 28, 2025 2:45 pm
Admin
(@admin)
Posts: 20
Admin
 

Tuma kwenye hii email address admin@digxam.site 


 
Posted : December 28, 2025 2:48 pm

Leave a reply

Author Name

Author Email

Title *

My Media   or drag and drop it here. Max file size 1GB
Preview 0 Revisions Saved