Notifications
Clear all

[Sticky] Malipo ya Trade Bond tayari nimetuma sioni kitu chochote kwenye profile yangu

(@Anonymous)
Posts: 10
Topic starter
 

Nilitumua pesa kwajili ya a Trade Bond 200k tangu nimeituma sijaona mabadiliko yoyote  kwenye profile yangu shida nini?


 
Posted : December 28, 2025 11:59 am
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 202
Admin
 

Kesi kama hii lazima kwanza ufanye mambo yafutayo

  1. Login kwenye account yako
  2. Mtag Admin au Moderator receipt ya malipo. 
  3. Lazima admin au moderator ukupe maelekezo ya malipo.
  4. Lazima umwambie admin au Moderator ref numba ya malipo yako.
  5. Baada ya admin kua approve malipo profile yako itabadika na kulingana Trade Bond ya kifurushi chako.

Ulilipa kwanjia gani na tarehe ngapi?

 


 
Posted : December 28, 2025 12:17 pm
(@Anonymous)
Posts: 10
Topic starter
 

Sikumbuki tarehe ngapi lakini ni muda kidogo umepita.

nilipa kwakutumia Lipa namba hii

5BF77083 71CE 413F 9CEF C9D0D59C3960

 


 
Posted : December 28, 2025 12:29 pm
Moderator
(@moderator)
Posts: 167
Moderator
 

Sawa hii namba ya kwetu naomba fanya mambo yafutayo

  • Login kwenye account yako
  • nitumie majina ya   mtumaji
  • Nitumie  namba ya simu
  • nikuunge kifurushi chako cha Bond Trade cha 200k.

#Onyo.

  • Nikosa kutumia Anony Mouse account kutoa taarifa yoyote ukiwa na account ambayo iko active,hii ni huduma kwajili ya watumiaji walioshindwa kujisajili au account zao zimegoma kufunguka wanataka tuwasaidie kuzifungua.

 
Posted : December 28, 2025 12:46 pm
(@Anonymous)
Posts: 10
Topic starter
 

Ngoja nikumbuke namba na majina nitakutumia relax boss wangu.


 
Posted : December 28, 2025 12:53 pm

zoom

Innocent
(@innocent)
Posts: 58
200K Trade Bond
 

Hivi wale wanatuma msg za tuma kwenye namba hii wako kilasehemi eti.


 
Posted : December 28, 2025 5:03 pm
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 202
Admin
 

Hii case ya Emergency tunaifunga,ukidhibitisha tutaendelea nayo.


 
Posted : December 31, 2025 7:54 pm

Leave a reply

Author Name

Author Email

Title *

My Media   or drag and drop it here. Max file size 1GB
Preview 0 Revisions Saved