Notifications
Clear all

[Solved] Kwanini Digxam nini na mnapatikana wapi

(@Anonymous)
Posts: 1
Topic starter
 

Nikinunua kitu kama baiskeli kwatu waliko Japan utaratibu wake ukoje na lipia kwanza au napokea kabla kulipi? 


 
Posted : December 28, 2025 8:11 am
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 202
Admin
 

Hii sio Emergency hii ni huduma kwa wateja ngoja nikuunganisha na watu wa huduma kwa wateja watakijibu @Digxam  

Asante kwa kuchagua Digxam 


 
Posted : December 28, 2025 8:19 am
Digxam
(@digxam)
Posts: 72
Admin
 

Nikinunua kitu kama baiskeli kwatu waliko Japan utaratibu wake ukoje na lipia kwanza au napokea kabla kulipi? 

Asante kwa kuliza maswali matatu mihimu.

  1. Digxam nini 
  2. Tunapatikana wapi
  3. Ukinunua kitu chochote  unatanguliza malipo au unalipa baada ya kupokea mzigo wako.

#Majibu 

  1. Digxam Trades  Maarufu kama (East Africa Market) ni kampuni inayounganisha  wauzaji na wanunuzi ndani na nje ya nchi.
  2. Digxam Trades Maarufu kama (East Africa Market) tunatoa huduma ya matangazo ya Biashara na huduma mbalimbali.
  3. Tunapatikana ilala mtaa wa  Iring na Lindi na online kwenye hii app.
  4. Ukinunua kitu chochote unatanguliza pesa,unalipa asilimia 100%.
  5. Kama unatumia Pay Trade membership sio lazima kulipia kabla japo inategeme na Pay Trade  yako ni kubwa kiasigani.
  6. Kama ni Muuzaji unatumia Trade Bond pia unaweza kulipia baada ya mzigo kufika nyumbani kwako.

#Jinsi ya kutumia hii app kwa mtu anayeta kuagiza kitu chohote.

  1. Ingia kwenye hii app,anzisha topic yako:nfano unataka TV
  2. ingia kwenye vifaa vya erectors.
  3. fungua topic. 
  4. Weka kichwa cha habari kwamba unahitaji TV.
  5. Eleza kwenye uwanja wa message,unataka wauzaji wa wapipi wakupatia hiyo TV .
  6. Weka bajet yako.
  7. Tuma. 
  8. Hii huma ni bure kwa kila mtu aliejisajili.

#Kama wewe unakitu chochote cha kuuza.

  1. Ingia kwenye app 
  2. Chagua category au Group la bidhaa ulizonazo 
  3. Fungua Topic 
  4. Weka kichwa cha Habari cha bidhaa chenye kueleweka hata kabla ya mnunuzi kufungua aweze kuelewa nini unauza.
  5. Weka picha au video ya bidhaa zako.
  6. Weka bei ya bidhaa zako.
  7. Taja sehemu unakopatika 
  8. Usiweke namba ya simu kama huna Bond Trade.
  9. Tuma
  10. Hii huduma ni bure kama umejisajili.

 

#Matangazo

  1. Kama unatangazo lako la biashara au huduma tuletee tukutangazie kwa gharama nafuu.
  2. Melezo zaidi kuhusu matangazo tembele page ya matangazo

#Angalizo 

  1. Wauzaji wanaotumiwa pesa moja kwamoja ni wale wenye alama ya Trade Bond kwenye profile zao.
  2. Usitume pesa kwa muuzaji mwenye alama ya Honorable Member.
  3. Usitume kiasi kikubwa zaidi ya Bond Trade yake.
  4. Kama utakuwa na wasisi na muuzaji unawe ktumia account za bank na simu  kumlipa muuzaji.

Asante kwakuchagua Digxam.

 


 
Posted : December 28, 2025 10:26 am

Leave a reply

Author Name

Author Email

Title *

My Media   or drag and drop it here. Max file size 1GB
Preview 0 Revisions Saved