Notifications
Clear all

Samsung Galaxy S20 5G SC-51A 128GB*12GB-Mwisho wa mnada 30-12-2025

Fundi Simu
(@fundi-simu)
Posts: 25
500k Trade Bond
Topic starter
 
Dokomo
Dokomo2
Dokomo3

Samsung Galaxy S20 5G SC-51A 128GB*12GB-Mwisho wa mnada 30-12-2025 funga mwaka na simu kali sana.

Maelezo ya Simu 

  • Sumsaung original kutoka Japan 
  • Used Japan 
  • Iko Karikoo 
  • Mwisho wa Mnada 30/12/2025
  • Bei inaanzia 100,000.

Malipo baada ya kushinda mnada

  • Ukishinda mnada unatakiwa uweke kiasicha pesa sawa na bei then nitakutumia simu yako ukipokea mzigo wako ruhusu pesa yangu.
  • Nitakutimia simu pamoja na chaji yake. 
  • Haikisha unani follow 
  • Share hii kwa watu wako wa Karibu
  • Like Mnada wangu upate maisha marefu yenye Baraka 
  • Subsruber huu mnada upate update za mzishindi 

 
Posted : December 19, 2025 5:34 am
Alfred Wilbrod, Arusha Icon, QuennyEmict and 1 people reacted
Lux
 Lux
(@lux)
Posts: 26
Service Provider
 

@fundi-simu 100,000 naomba kulipia pesa ipo.


 
Posted : December 19, 2025 5:48 am
Fundi Simu
(@fundi-simu)
Posts: 25
500k Trade Bond
Topic starter
 

@lux Utalipia siku ya mwisho ya mnada.


 
Posted : December 19, 2025 5:58 am
(@quennyemict)
Posts: 3
Honorable Member
 

Note

150k


 
Posted : December 19, 2025 6:05 am
Arusha Icon
(@arusha-icon)
Posts: 35
3M Trade Bond
 

nipo kweny 200-250 ikizi hapo basi.


 
Posted : December 19, 2025 6:12 am

like

Tunu
 Tunu
(@tunu)
Posts: 4
Honorable Member
 

260,000


 
Posted : December 19, 2025 3:31 pm
Alfred Wilbrod
(@alfred-wilbrod)
Posts: 3
Honorable Member
 

Bado hiyo simu ipi?


 
Posted : December 29, 2025 8:31 pm
Fundi Simu
(@fundi-simu)
Posts: 25
500k Trade Bond
Topic starter
 

Leo saa sita usiku ni mwisho wa mnada kama huna Band  huna lolote hakikisha unamcheki @admin akupo bond au Dm nikupe maelekezo jinsi ya kulipia kwa on-line system au shuka hapo Emergency wakupe utaratibu jinsi ya kulipia. 

Kuanzia 2026 @admin naomba  watu wenye membership pekee ndio waweza comment kwenye bidhaa zangu ili kupunguza cements zisizo na maana . 


 
Posted : December 30, 2025 6:29 am