Notifications
Clear all

[Sticky] Masharti na vigezo kushiriki minada ya simu ndani na nje ya nchi online 2026

Digxam
(@digxam)
Posts: 72
Admin
Topic starter
 

#Maelezo kwa ufupi jinsi ya kushiriki minada ya online ukiwa popote Dunia.

  • Kila mtu anaruhusiwa kuweka simu zake  kwenye mnada popote alipo Duniani.
  • Toa maelezo ya kutosha kuhusu simu zako  kwenye mnada wa online.
  • Andika Sehemu ulipo.
  • Kama uko nje ya nchi weka gharama za usafiri hadi mzigo ufike kwa mnunuzi.
  • Kama uko ndani ya nchi weka sehemu ulipo.
  • Grama zote zijumlishwe kwenye bei ya mnada.
  • Tarehe ya mwisho wa mnada.
  • Muuzaji unahita kuwa na Trade Bond kubwa kuzidi bai ya bidhaa zako.
  • Mnunuzi unatakiwa kuwa na Pay Trade au Trade Bond.
  • Ukishindwa kulipia mnada wako kwa wakati Trade Bond au Pay Trade yako itafutwa bila kurudishiwa Deposit yako.
  • Muuzaji ukishindwa kutuma simu ya mnunuzi Trade Bond yako itafutwa  Bond itamlipa mnunuzi.
  • Lipia mnada wako ndani ya masaa 24.
  • Mlipe moja kwa moja muuzaji wa simu.
  • Utalipa 5% ya jumla ya bei gharama zauendeshaji wa minda kwa kila mnada. moja.

#Kama unataka kujisajili kwenye mnada wa simu lazima uwe na deposit au Trade Bond kuanzia 5.k kwendelea.

  • Jisi ya kupa Trade Bond au Pay Trade kwajili ya kushiriki minda wasilia na kitengo cha Emergency fungua Topic hata bila kujisajili kwenye app  bonyeza Hapa.

Kama una ushauri au maoni unakaribishwa.


 
Posted : December 31, 2025 8:44 am