Notifications
Clear all

REPAIR Natafuta Spare za Toyota Prado RZJ 95

32 Posts
4 Users
0 Reactions
383 Views
0
Topic starter

Habari

Mataka kufufua Gari langu Rand cruiser Midel RZJ95 naomba bei ya gharama  za spara picha ya Gari hapa chini

D35E7822 8B79 4E8F 8A35 9E8035821086
A5608FB8 69A9 46DC 9F9E 03F32C429BB6
87879727 4315 4630 91BC A9D3C944C91E
CEB961FB 9E2B 4840 B821 9FFF2105B123
E72BE751 2049 4B51 9950 D353A8B6E341
6C240C6D A8BF 48C0 91A5 5A9053762087

0
image
image
image
image
   
Company: TOYOTA
Model: LAND CRUISER PRADO
Year: 1999
Model type: RZJ95W

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

0

Bora ununue hili hapa hilo litakutesa ndugu yangu.

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

0
Topic starter

Hili kama bei gani?

Jonson John Jonson John April 9, 2024 9:07 pm

Posted by: @rama

Hili kama bei gani?

Hadi usajili sio chini ya 30ml.

Rama Topic starter April 9, 2024 9:12 pm

@jonson-john Parefu Chef 👩‍🍳 naomba unipambanie nitafutie body na vifaa vingine vya kuunga unga nitumie jamaa yako.

Jonson John Jonson John April 9, 2024 9:15 pm

@rama Account yoko iko zero i see ebu onyesha ushurikiana tuingia mtaani kitakachopatikana tutajulishana.

0
Topic starter

Usijali wewe pambana ukipachochote ukipost hapa napata email na ingia chapu kwa haraka tunaelekezana.

Jonson John Jonson John April 9, 2024 9:22 pm

@rama Kama uko serious naomba ufate utaratibu nitakufanyia kazi yako,kinyuma na hapo kuwa mpole sikilizia kuna watu wana spare za gari lako na hivi umeli post watakutafuta soon.

0
Topic starter

Sio kwamba nakupinga Jonson hapana  tatizo huku home mambo magumu bora nyie mlioko huko mbele,tushikeni mkono bwana undungu kazi.

Jonson John Jonson John April 9, 2024 9:28 pm

Posted by: @rama

Sio kwamba nakupinga Jonson hapana  tatizo huku home mambo magumu bora nyie mlioko huko mbele,tushikeni mkono bwana undungu kazi.

🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 acha saundi mkuu.

PLACE YOUR ADS HERE!

Banners/Ads, Require any Further Information or a Quotation.  Click Here .

0
Topic starter

Hii ndio Faida ya kukua kwa technologia,tunaweza wasiliana lakini kwenye gharama kidogo mambo magumu,tuvumiliana tusaidie tubebane Mungu ni mwema mambo ya takaa usisahau nyumbani ndugu yangu.usiku mwema.

Jonson John Jonson John April 9, 2024 9:38 pm

Posted by: @rama

Hii ndio Faida ya kukua kwa technologia,tunaweza wasiliana lakini kwenye gharama kidogo mambo magumu,tuvumiliana tusaidie tubebane Mungu ni mwema mambo ya takaa usisaha nyimbani ndugu yangu.usiku mwema.

Bwana Rama hapa ni asubuhi,yaani umenichekesha sanaa anyway sawa nitakupambania tuombe uzima,vipi huku chini kuanzia kwenye chesses,Spring,Shocks,Vifaa vyake vikoje vizima? 

Rama Topic starter April 9, 2024 9:44 pm

@jonson-john Bila kupoteza muda chini naona kama chasss ni mzima ila vifaa vingine hadi Gari litembee ndiyo nitajua cha kufanya ila ukivipata tupia hapa tuvisaminishe kisha tutapata majibu.

0

Sawa usiku mwema,ukiamka utakuta update,ngoja niingie mtaani.

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

Rama Topic starter April 9, 2024 9:50 pm

@jonson-john Tyaire zote nne kama unavyo lione.

0
Topic starter

Pamoja na Rims zake.

0
Topic starter

Body complite 

0
Topic starter

Engine na Geabox yake.

0

OK.

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

PLACE YOUR ADS HERE!

Banners/Ads, Require any Further Information or a Quotation.  Click Here .

0
Topic starter

Asante sana.

0

Kwema ndugu?

Rama Topic starter May 26, 2024 7:07 pm

Posted by: @innocent

Kwema ndugu?

Kwema vipi?

0
Topic starter

Kwema habari za huko?

0
Topic starter

Habari za huko kimya sanaa vipi umepata?

Jonson John Jonson John April 14, 2024 8:42 pm

@rama Hii huduma bila kuweka balance huwezi kupata kwa sasa naomba ulipike vifaa vya Gari lako vitafutwe.

0

What are you looking for?

0
Topic starter

Hello

PLACE YOUR ADS HERE!

Banners/Ads, Require any Further Information or a Quotation.  Click Here .

0
Topic starter

Habari zale.

0
Topic starter

Maendeleo yakoje 

0

Umelipia?

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

0
Topic starter

Bado vipi umepata

Digxam

FREE
VIEW