- Register Your Account To day Click Here.
- Baada ya usajili kukamilika Bonye Hapa.
- Kungalia salio la Affiliate log in kisha bonyeza hapa
- TOYOTA LAND CRUISER
- PRADO TXL 4WD
- YEAR 2019
- MILEAGE 87,000
- START PRICE 3,305,000 JPY
- Bid Increment 100,000 JPY
- Current Bid Price 3,405,000
- End 01/04/2024
3,505,000
Kama unaswali kuhusu gharama za ushuru naomba uni tag.
Ningeomba kupata ufafanuzi kabla ya kujilipua.
Engineer gharama ungeziweka wazi tukajua inakuwaje.
Nikinunua Gari hapo Japan Gharama zikoje kulisafirisha hadi DRC ya Lubumbushi?
3,605,000 hii bei had Lubumbashi.
Hili gari mbona picha chache naomba kuliona vizuri.
Ongeza picha kidogo mkuu.
Hili Gari wangeweka video kuonyesha ndani na kwenye Engine ili mnishawishi
Hili gari nili share kwa watu wengi sana kila mtu wangu wa karibu nimentumia.
Ngaja na mimi niwasaidie kushare hii ndiga.
Share tu.
3,605,000
Mimi na Group la Car dealers hapa mjini nimetupia,
Saa sita mwisho.
Ukipata gharama za manunuzi na usafiri wakutoka Japan To Dar niambie nikupe gharama za kuusafiri kutoka Dar Lubumbashi kupita boda ya Tunduma upande wa Zambaia hadi Kasumbalesa hadi Lubumbashi.Nikinunua Gari hapo Japan Gharama zikoje kulisafirisha hadi DRC ya Lubumbushi?
Hili Gari ni bei sanaa i see 🤑 🤑 🤑
Hivi nikishinda hapa natakiwa nifanyeje sasa?
Hili dude bhna sio mchezo.
Hili mwendo wa kushare.