Habari wateja wetu wapendwa.
Kunachangamoto zipi umekutananazo baada na kabla ya kutumia huduma zetu?
Leta Tangazo lako la Biashara Tukutangazie kwa Gharama na fuu sana.wasiliana nasi:advertise@digxam.site au Whatspp +8180 2071 7421 or click here.
@admin Kuboresha huduma uliza sawali,Post au Comment,naku like post hii.
Mimi nika ya wapenzi na wafatiliaji wa jukwaa la SouthAfrica kwasabu kuna vitu vingi nahitaji kutoka kule lakini kuna mtu moja pale kama Mungu mtu nilimwambia anitafutie vifaa vya Toyota Fortuna tangu last year kakataa kata kata hawa ndio wanarudisha nyuma hii platform ukiwaondoa mtapata wateja wengi.
Sio kweli last year sikuwa member hapa Ebu acha mkuu kila siku natoa huduma hapa.Mimi nika ya wapenzi na wafatiliaji wa jukwaa la SouthAfrica kwasabu kuna vitu vingi nahitaji kutoka kule lakini kuna mtu moja pale kama Mungu mtu nilimwambia anitafutie vifaa vya Toyota Fortuna tangu last year kakataa kata kata hawa ndio wanarudisha nyuma hii platform ukiwaondoa mtapata wateja wengi.
Jukwaa la Japan linaongoza changamoto nyingi pale, watu wanalinga sana ukiuliza kitu utajibiwa baada ya week moja na kilasiku wako online naomba tuanze na hapo Japan kwanza.
@jonson-john utusaidie kujibu swali hili mteja kauliza.Jukwaa la Japan linaongoza changamoto nyingi pale, watu wanalinga sana ukiuliza kitu utajibiwa baada ya week moja na kilasiku wako online naomba tuanze na hapo Japan kwanza.
Kwanza naomba msamaha kwangu binafsi na kwaniaba ya sellers wengine kwenye hili jukwaa la Japan kwa kutokujibu wateja kwa muda.@jonson-john utusaidie kujibu swali hili mteja kauliza.Jukwaa la Japan linaongoza changamoto nyingi pale, watu wanalinga sana ukiuliza kitu utajibiwa baada ya week moja na kilasiku wako online naomba tuanze na hapo Japan kwanza.
Naomba mlalamikaji ange sema seller yupi ili @admin uweze kujua pakuanzia badala kutuhumu jukwaa zima ambalo lina sellers zaidi 10 sitaki kuamini kwamba wote hawa walichelewa kujibu ujumbe wako.
Pili kuna tatizo la wateja kutokujaza form zao ambazo uturahisisha kuwasiliana nao nje ya Thread zao,baadhi wakiwaja wanaweka namba zisizo na whatspp hivyo panakuwa na ugumu kuwasiliana nao kwanjia za whatspp ili kupunguza gharama za mawasiliano.
hii form inapatikanahapa jaza vizuri kisha submit nitakutafuta haraka sana na kukuhudumia.
Pia Kuna seller wasiojua kiswahili lakini tukiwa na mawasiliano na wewe tutakutafuta kwanjia ya whatspp.
Napokea Email nyingi sana kutoka hapa kwenye hii website yenu yaani kila kitu kikipotiwa hapa napata naweza je kuzipunguza angalau ziwe chache jamani too much.
Pole sana,ume Subscribe topics na Post zote ndio maana.Napokea Email nyingi sana kutoka hapa kwenye hii website yenu yaani kila kitu kikipotiwa hapa napata naweza je kuzipunguza angalau ziwe chache jamani too much.
Fanya mambo yafuatayo.
1.Log in
2.ingia kwenye my profile.
3.Bonyeza Subscribe
4.Un Subscriber all Onda tiki pale.
5.Chagua jukwaa gani au topics gani unataka ku Subscriber Kisha weka tuki.
6.Kama hutaki notification acha wazi usitiki kitu chochote,baada ya kufanya hivyo tatizo lako tukakwisha kabisa.
Kwanini nikiweka Oder kwanjia ya whatspp sijibiwi nimefanya hivyo zaidi ya mala moja.
Swali lako la pili kuhusu whatspp kuweka oder na kutokujibibwa.Kwanini nikiweka Oder kwanjia ya whatspp sijibiwi nimefanya hivyo zaidi ya mala moja.
1.Kwenye kanuni zetu nikosa kutotokumjibu mteja, pole sana kwa usumbufu,nalifanyia kazi.naomba kujua namba hipi ulitumia ili nifatilie kwaukaribu sana.
2.Lakini kupokea oder kwanjia ya whatspp au kuoiga simu kanuni zetu zinakataza unatakiwa kupiga simu au kutuma ujumbe wa whatspp kwajili ya kupewa maelekezo jinsi ya kuweka oder zako.
3.Utaratibu wa kuweka oder ni kufungua Thread na kutoa maelezo ya nini unataka utajibiwa kupitia kwenye thread yako
Nakazia hapo Africa Kusini kuna tatizo,niliukiza Grader hadi leo sijajibiwa.
Nilikumbia ulipie membership ya Trusted ukalalambele hadi leo.Nakazia hapo Africa Kusini kuna tatizo,niliukiza Grader hadi leo sijajibiwa.
Nadhani acheni kupotosha leta kero kama zipo zutatuliwe.
Ikikupendeza unaweza kutusaidia majibu @GP-logistics ya wateja wetu wawili hapo.
Leta Tangazo lako la Biashara Tukutangazie kwa Gharama na fuu sana.wasiliana nasi:advertise@digxam.site au Whatspp +8180 2071 7421 or click here.
Niliomba kutafutiwa spare za Gari langu hadi leo kimya.
Sikukataa Bali nilikuambia ulipie membership ukagoma na uzi wako huuhapa.Niliomba kutafutiwa spare za Gari langu hadi leo kimya.
Sikupewa Maelezo ya kutosha zaidi ya kukaa kimya.