Notifications
Clear all

  • Register Your Account   To day Click  Here.
  • Baada ya usajili kukamilika Bonye Hapa.
  • Hakikisha namba yako ya  simu  inapatikana.

[Solved] MAELEZO JINSI YA KUTUMIA WEBSITE.

12 Posts
10 Users
0 Reactions
64 Views
Moderator
(@moderator)
Karibu! Moderator
Joined: 3 months ago
Posts: 73
Topic starter  

1.JINSI YA KUJISAJILI.

Baada ya kufungua website fanya mambo yafutayo:-

  • Fungua Menu
  • Jisajuli 

2.JINSI YA KUFUA MENU.

Bonyeza kwenye mistari mitatu kupata menu ya kwajili ya kujisajilia,kama kama inavyoonekana chini.

image

a)Baada ya kubonyeza itakuja menu hapo chini ya hiyo mistri,kama inavyoonekana chini.

image

 

b)Bonyeza neno Register kwajili ya kujisajili angalia hapo chini.

image

c)Baada ya kubonyeza muonekano utakuwa kama hapo chini panavyoonekana.

image
  1. weka user name (unaweza kutumia jina moja au majina mawili inategemea na wewe mwenyewe unatakaje.
  2. Weka email address yako bila kuikosea.
  3. Weka Passwerd yako. 
  4. Rudia tena Pasword yako bila kuikosea. 
  5. Soma Forum privacy.
  6. Soma Forum rules.
  7. weka tiki kwenye box la Privacy kukubali.
  8. Weka tiki kwenye box la rules kukubali.

2.USAJILI UKIKAMILIKA.

  • Utaona rangi ya kijani na ujumbe wa Registration successful  kwenye website,ujue tayari umejisaji.
  • Jina lako la user name litajitokeza hapo chini.
  • Utaona Topics zote zina njano   new topic(ukifunga na kusoma alama ya new topics upotea.
  • hapo chini nijisi ya kuhakiki usajili wako baada ya kujisajili.  

 

image

3.USAJILI UKIGOMA FANYA MAMBO YAFUTAYO.

Wakati wa usajili ujumbe  ujumbe wa errors  ukawa na rangi nyekundu.

1.Password hazifanani

2.Majina ya kiwa marefu zaidi pia inagoma 

3.majina ya kifanana na mtu mwingine ambaye yayari kajisajili inagoma na kutoa ujumbe wa badili jina tumia lingine.

4.Hakiki email yako.

4.Ikitoka imegoma kusajilia jina lako kwa mala ya kwanza kabla ya kubadilisha kitu chochote rudia password zako upya,tick kwenye box la rules na Policy tuma tena malaya pili itakubali kama ni majina marefu.  

4.BAADA YA KUKAMILA USAJILI.

Jinsi ya kupost biashara zako kwenye forums fanya mambo ya futayo:-

Chagua jukwaa unalotaka kulitumia kati ya majukwaa yalipoa hapo.

1.TANZANIA vs CHINA MARKET PLACE.

image

 

a)Bonyeza kwenye ADVERTISE & SELL ANYING (zitafunguka topcs zote utaweza kuona title au vichwa vya habari vya topcs zote kwenye hilo kundi.

 

image

b)Bonyeza kwenye kichwa cha habari ili kusoma topic na kuona  picha za bidhaa kama inavyoonekana hapo chini.

image

Baada kuna maeelzo ya picha na bidhaa unaweza kutoa maoni yako hapo chini kwenye sehemu ya comments.

 

image

5.JINSI YA KUPOST BISHARA ZAKO.

1.Chagua jukwaa unalotaka.

image

 

2Bonyeza kwenye Forum title. 

image

3.Bonyeza kwenye new topic. 

image

4.Andika kichwa cha habari.

image

5.Andika maelezo

image

6.Weka picha 

image

7.Topic Tags 

image

8.Subscribe to this topic 

image

9.Add topic.

image

10.waiting for admin to approve your content .

11.After Approving ,share kwenye mitandao ya kijamii.

6.BAADA YA KUPOST BIASHARA ZAKO.

Usiko kujisajili kwaji ya kujipatia pesa na zawadi,maelezo zaidi bonyeza hapa 

Share pages zetu ujipatie Zawadi kemkemke,kama Laptops,Simu Janja,Saa za smart nk,kujiunga Bonyeza Link


   
ReplyQuote
Beka
 Beka
(@beka)
Deposit ¥00,000
Joined: 2 months ago
Posts: 10
 

Umefanya vizrusina kunasehemu nikua sielewi kitu umefanya vizuri lakini bado kuna sehemu nyeti unatakiwa kuzitolea maelezo.


   
ReplyQuote
Joantha
(@joantha)
Deposit ¥00,000
Joined: 1 month ago
Posts: 6
 

Mbona siongumu kutumia hii!


   
ReplyQuote
Erica
(@erica)
Deposit ¥00,000
Joined: 1 month ago
Posts: 5
 

Simple sana kutimia hii.


   
ReplyQuote
Dubai Used Parts
(@dubai-used-parts)
Unlimited Member
Joined: 1 month ago
Posts: 4
 

Mwanzo ilinitokijasho.


   
ReplyQuote
Khadija Omary
(@khadija-omary)
Deposit ¥00,000
Joined: 2 months ago
Posts: 6
 

Safi sana.


   
ReplyQuote
Ally Kanagawa
(@ally-kanagawa)
Seller
Joined: 3 weeks ago
Posts: 4
 

Asante kwa taarifa.


   
ReplyQuote
Ally Kanagawa
(@ally-kanagawa)
Seller
Joined: 3 weeks ago
Posts: 4
 

Jinsi ya kuweka picha.


   
ReplyQuote
Nguma
(@nguma)
Deposit ¥00,000
Joined: 3 weeks ago
Posts: 3
 

Hii site yenu ni mzuri sana.


   
ReplyQuote
Middle Parts
(@middle-parts)
Unlimited Member
Joined: 1 month ago
Posts: 3
 

SaSI SANA


   
ReplyQuote
Kabandwa
(@kabandwa)
Deposit ¥00,000
Joined: 2 months ago
Posts: 20
 
E17BFC2B 1288 4564 BC32 E200714AFADF
AABAD8F5 BF96 4EBE B186 EC674FFAA08A

Hii pesa naitowaje kwenye wallet yangu ?


   
ReplyQuote
Moderator
(@moderator)
Karibu! Moderator
Joined: 3 months ago
Posts: 73
Topic starter  

@kabandwa

7639C18C ABEF 4D4F 91D5 FE3B7E1435C8

 
Ningumu kutoka hadi ufikishe zaidi ya visitors 100 kwendelea,Endelea ku share page zetu kwenye mitandao ya kijamii.

Share pages zetu ujipatie Zawadi kemkemke,kama Laptops,Simu Janja,Saa za smart nk,kujiunga Bonyeza Link


   
ReplyQuote