Notifications
Clear all

Digxam [Solved] TUMIA SIMU YAKO VIZURI UJIPATIA MTAJI WA BIASHARA.

39 Posts
24 Users
11 Reactions
2,867 Views
Moderator
(@moderator)
Posts: 111
Moderator
Topic starter
 
UMUHIMU WA HII FORM.

image

Hii Form inakazi mbili muhimu sana kwa wateja wetu kila mtumiaji nilazima kuijaza.

1.Ukija hii form inatusaida kupata taafira zako pale tunapokuhitaji kwajili ya jambo lolote muhimu hivyo basi kila mtumiaji wa website hii anapaswa kuijaza.

2.Jaza majina yako mawili.

3.Nchi ulipo.

4.Namba ya simu yenye whatspp kama unayo.

5.Sio lazima kutumia accoount ya Affiliate hii ni option kwa wateja wanataka kujiongeza kipato kupita kwenye platform zetu.

6.Hii Form inajazwa baada ya kujisajili kwenye website sio kabla ya kujisajili.

7.Usipoijaza baada ya kufanya manunuzi kama tutakuhitaji tukakukosa,gharama na usumbufu utakaojitokeza itakuwa juu yako. 

JISAJILI ONGEZA KIPATO KILA SIKU, KILA MWENZI,KILA MWAKA..

Kila moja anaweza kuongeza kipato inawezakana kabisa kwakufanya mambo yafutayo:

Kila moja anaweza kuongeza kipato kupitia kwenye website yetu kwakufanya mambo yafutayo:

1.Jisajili kwenye website kwa kubonyeza hapa,(kama tayari umejisajili kwenye website chagua namba mbili.

2.Kisha jisajili kwenye account mpya ya malipo kwa mteja bonyeza hapa.

3.Jaza Form vizuri,

4. Utapata ujumbe huu Thank you. Your registration is now complete. You can log into the affiliate area and begin promoting.

5.Kisha bonyeza Hapa,

6.Itakuja menu kama ifuatavyo (a)Overview (b)Sales Payment (c)History Creative(d)Edit Profile(e) Log out.

7.Bonyeza Creatives

8. Copy Generated Referral URL.

9.Your Affiliate Link Using Affiliate ID,tayari utapata link yako, kisha ifungue link itafunguka website kisha share kwenye mitandao ya kijamii.

10.Kila mtu atakaye tembelea website yetu kupitia kwenye hiyo link yako utalipwa.

10.Kila mtu atakaye tembelea website yetu kupitia kwenye hiyo link yako utalipwa.

11.Jinsi ya kuona idada ya views,malipo yako nk bonyeza hapa.

Tumeamua kutumia nfumo huu kwasabu platform yakwetu,wanunuzi na wauzaji ni sisi wenywewe kwanini pesa za matangazo tuwalipe makampuni ya nje na tukuze uchumi wa watu wengi

Jinsi ya kushare pages.

Nirahisi sana kupata watu wakutembelea website yetu  kulingana na juhudi zako za kushare page zetu sehemu mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii, bonyeza kwenye vitufe vya kushare kwenye kurasa yoyote kisha share na watu wako kwenye mitandao ya kijamii   kila ukurasa  chini mwisho vipo vitufe vya kushare .

Ainza za vitufe vya kushare.

  • Mtandao wa X zamani Tweeter.
  • Mtandao wa Whatspp.
  • Mtandao wa  LinkedIn.
  • Mtandao wa VK.
  • Mtandao wa OK.
  • Pia unaweza kushare kwenye mitandao mingine kwa ku copy page naku pasit  link.

Kuhusu zawadi mbalimbali.

Pia kuna zawadi mbalimbali zinatolewa bure na wauzaji (Sellers)wakiwa sehemu mbalimbali kama simu, laptops, saa, na vifaa mbalimbali vyenye thamani kubwa.kushinda zawadi unatakiwa kuwa na idai kubwa sana ya watu ambao wametembelea page yetu kupitia kwenye network yako ya watu kwenye mitandao ya kijamii.

Vigezo na Masharti 

  • Hakikisha majina yako vizuri .
  • Weka namba ya simu ya whatspp kama unayo.
  • Hakikisha email yako ikosahihi
  • Haikisha unaweka address sahihi. 

Dixata

Share pages zetu ujipatie Zawadi kemkemke,kama Laptops,Simu Janja,Saa za smart nk,kujiunga Bonyeza Link

Posted : April 6, 2024 10:54 am
admin reacted
(@joantha)
Posts: 6
0.000
 
Utajuaje kama nime share kwa watu wangu?

Posted : April 6, 2024 1:02 pm
admin reacted
 Beka
(@beka)
Posts: 16
0.000
 
interested

Posted : April 6, 2024 1:32 pm
admin reacted
 Zulu
(@zulu)
Posts: 24
0.000
 
Hii bado sijaipata vizuri.

Posted : April 6, 2024 1:33 pm
(@kidedea)
Posts: 12
0.000
 
Maokoto kama maokoto 😍 😍 

Posted : April 6, 2024 1:37 pm
admin reacted
(@agnes-mungai)
Posts: 2
0.000
 
Pesa Mbongo 

Posted : April 6, 2024 1:40 pm
admin reacted

THIS IS AN ADVEVERTISING SPACE.

The low-Price Managed ADs Is Solution For Everyone .

This is An Offer!! Each ad is $1 Per Week.

Moderator
(@moderator)
Posts: 111
Moderator
Topic starter
 
Posted by: @Anonymous

https://digxam.site/?wpam_id=20

ndioo hii?

Exactly 

Share pages zetu ujipatie Zawadi kemkemke,kama Laptops,Simu Janja,Saa za smart nk,kujiunga Bonyeza Link

Posted : April 6, 2024 1:43 pm
Moderator
(@moderator)
Posts: 111
Moderator
Topic starter
 
Posted by: @joantha

Utajuaje kama nime share kwa watu wangu?

Na access ya kujua.

Share pages zetu ujipatie Zawadi kemkemke,kama Laptops,Simu Janja,Saa za smart nk,kujiunga Bonyeza Link

Posted : April 6, 2024 1:46 pm
Moderator
(@moderator)
Posts: 111
Moderator
Topic starter
 
Posted by: @zulu

Hii bado sijaipata vizuri.

Uliza swali niko hapa kwajili yako.

Share pages zetu ujipatie Zawadi kemkemke,kama Laptops,Simu Janja,Saa za smart nk,kujiunga Bonyeza Link

Posted : April 6, 2024 1:47 pm
admin reacted
Moderator
(@moderator)
Posts: 111
Moderator
Topic starter
 
Posted by: @kidedea

Maokoto kama maokoto 😍 😍 

Changamkia fursa wakati ndio huu.

Share pages zetu ujipatie Zawadi kemkemke,kama Laptops,Simu Janja,Saa za smart nk,kujiunga Bonyeza Link

Posted : April 6, 2024 1:48 pm
Moderator
(@moderator)
Posts: 111
Moderator
Topic starter
 
Posted by: @beka

interested

Pambana unweza kupata kifurushi cha kufanyia kazi mkuu.

Share pages zetu ujipatie Zawadi kemkemke,kama Laptops,Simu Janja,Saa za smart nk,kujiunga Bonyeza Link

Posted : April 6, 2024 1:50 pm
admin reacted
(@samuel-njoroge-rhodes)
Posts: 2
0.000
 
Mbona sioni kitu hapa.

Posted : April 6, 2024 2:26 pm
admin reacted

THIS IS AN ADVEVERTISING SPACE.

The low-Price Managed ADs Is Solution For Everyone .

This is An Offer!! Each ad is $1 Per Week.

(@christy-brewer)
Posts: 2
0.000
 
Marketing strategy 

Posted : April 6, 2024 2:29 pm
(@lucas)
Posts: 18
Car Dealers
 
@moderator nitaamini je kama mshindi wa zawadi hizo ni fulani na sio mimi? 

Posted : April 6, 2024 2:57 pm
admin reacted
Moderator
(@moderator)
Posts: 111
Moderator
Topic starter
 
@lucas Pale atakapotangazwa mshindi ukiwa na mashaka na mchakato mzima wa upatikanaji wa mshindi au washindi  kwa upande wa zawadi au kifurushi unaweza kumwambia @admin kwa kumtag kama nilivyo fanya akutumia ushahidi wa screenshot pamoja na tracking keys ulinganisha na idadi ya watu wanaosoma kwenye account yako ilikuondoa mashaka sio kosa.

Share pages zetu ujipatie Zawadi kemkemke,kama Laptops,Simu Janja,Saa za smart nk,kujiunga Bonyeza Link

Posted : April 6, 2024 3:04 pm
(@lucas)
Posts: 18
Car Dealers
 
@moderator Nimekusoma ngoja niingie mzigoni.

Posted : April 6, 2024 3:06 pm
(@prince)
Posts: 2
0.000
 
@lucas Umeuliza swali la msingi sana maana juzi alivyo patikana mshindi wa simu kidogo sikuelewa anyway siombaya tukaweka na kaushahidi ili kusisitanza na kuondoa vinyongo asante sana.

Posted : April 6, 2024 3:12 pm
admin reacted
Moderator
(@moderator)
Posts: 111
Moderator
Topic starter
 
@prince Ulishindwa  nini kuuliza broo kuwa free uliza hoji hapa ni kilakitu kiko wazi sana.

Share pages zetu ujipatie Zawadi kemkemke,kama Laptops,Simu Janja,Saa za smart nk,kujiunga Bonyeza Link

Posted : April 6, 2024 3:15 pm

THIS IS AN ADVEVERTISING SPACE.

The low-Price Managed ADs Is Solution For Everyone .

This is An Offer!! Each ad is $1 Per Week.

Kabanza
(@kabanza)
Posts: 14
0.000
 
mm nasoma comment aloooo 

Posted : April 6, 2024 3:18 pm
(@travela)
Posts: 1
0.000
 
Noted 

Posted : April 6, 2024 3:22 pm
(@rukia)
Posts: 5
0.000
 
Maback benchers wenzangu njoo huku @ Jafet @Raster kubeti sio dilite tana.

Posted : April 6, 2024 3:27 pm
Raster reacted
(@raster)
Posts: 8
0.000
 
@rukia Ngoja kwanza niingie mzigoni 🤑 🤑 🤑 🤑 🤑

Posted : April 6, 2024 3:29 pm
Jasusi Mweusi
(@jasusi-mweusi)
Posts: 42
0.000
 
Iiko sawa.

Posted : April 6, 2024 4:14 pm
Khadija Omary
(@khadija-omary)
Posts: 11
0.000
 
Wananzengo tufanye kweli I see.

Posted : April 6, 2024 4:33 pm

THIS IS AN ADVEVERTISING SPACE.

The low-Price Managed ADs Is Solution For Everyone .

This is An Offer!! Each ad is $1 Per Week.

Omega
(@omega)
Posts: 45
0.000
 
Mtafika mbali sana Mungu watangulie,najivunia sana huu ni mtandao wetu wabiashara Tanzania uzalenda kwanza,ngoja nitulie kisha nitashare hizi biashara yenu ifike mbali.

Posted : April 6, 2024 7:43 pm
(@cassandra)
Posts: 4
0.000
 
Iko vizuri sana.

Posted : April 7, 2024 8:38 am
(@brighton)
Posts: 4
0.000
 
Sawa

Posted : April 7, 2024 9:40 am
(@gladys)
Posts: 5
0.000
 
Safii sanaa.

Posted : April 7, 2024 9:53 am
admin
(@admin)
Posts: 250
Admin
 
image

Andika comment hapa nikuongezee 10,000 kwenye account yako ya   affiliates,kama bado ujajisajili fanya hivi 

JISAJILI ONGEZA KIPATO KILA SIKU, KILA MWENZI,KILA MWAKA..

Kila moja anaweza kuongeza kipato kupitia kwenye website yetu kwakufanya mambo yafutayo:

1.Jisajili kwenye website kwa kubonyeza hapa,(kama tayari umejisajili kwenye website chagua namba mbili.

2.Kisha jisajili kwenye account mpya ya malipo kwa mteja bonyeza hapa.

3.Jaza Form vizuri,

4. Utapata ujumbe huu Thank you. Your registration is now complete. You can log into the affiliate area and begin promoting.

5.Kisha bonyeza Hapa,

6.Itakuja menu kama ifuatavyo (a)Overview (b)Sales Payment (c)History Creative(d)Edit Profile(e) Log out.

7.Bonyeza Creatives

8. Copy Generated Referral URL.

9.Your Affiliate Link Using Affiliate ID,tayari utapata link yako, kisha ifungue link itafunguka website kisha share kwenye mitandao ya kijamii.

10.Kila mtu atakaye tembelea website yetu kupitia kwenye hiyo link yako utalipwa.

Leta Tangazo lako la Biashara Tukutangazie kwa Gharama na fuu sana.wasiliana nasi:advertise@digxam.site au Whatspp +8180 2071 7421 or click here.

Posted : May 5, 2024 7:50 am
(@zuhura)
Posts: 34
Unlimited Member
 
Niko hapa.

Posted : May 5, 2024 7:56 am

THIS IS AN ADVEVERTISING SPACE.

The low-Price Managed ADs Is Solution For Everyone .

This is An Offer!! Each ad is $1 Per Week.

(@joantha)
Posts: 6
0.000
 
Niko hapa.

Posted : May 5, 2024 7:58 am
 Beka
(@beka)
Posts: 16
0.000
 
Nipo boss 

Posted : May 5, 2024 8:01 am
(@rukia)
Posts: 5
0.000
 
nipo hapa.

Posted : May 5, 2024 8:05 am
admin
(@admin)
Posts: 250
Admin
 
Wakaojisajili kuanzia saa hizi hadi saa 12 kamili asubuhi nawapa bonasi ya elfu 10 kila moja.

comment hapa baada ya kukamilisha usajili wako.

Leta Tangazo lako la Biashara Tukutangazie kwa Gharama na fuu sana.wasiliana nasi:advertise@digxam.site au Whatspp +8180 2071 7421 or click here.

Posted : May 6, 2024 7:55 pm
 Zuru
(@zuru)
Posts: 17
Deposit 50,000
 
Tayari nimejisajili,hii elfu 10 naweza kuitoa @admin 

Posted : May 13, 2024 2:41 pm
(@joantha)
Posts: 6
0.000
 
Pesa yote nimepata naomba uniunganushe kifurushi ya Paid member cha mwaka@admin 

Posted : May 13, 2024 3:05 pm

THIS IS AN ADVEVERTISING SPACE.

The low-Price Managed ADs Is Solution For Everyone .

This is An Offer!! Each ad is $1 Per Week.

(@lucas)
Posts: 18
Car Dealers
 
Kumbe inatoka

IMG 20240518 WA0004

Posted : May 18, 2024 11:13 am
(@yusuph07)
Posts: 1
0.000
 
hiyo link ya kushare naipata wapi?

Posted : May 25, 2024 7:41 am
admin
(@admin)
Posts: 250
Admin
 
@yusuph07 Bonyeza Hapa

Leta Tangazo lako la Biashara Tukutangazie kwa Gharama na fuu sana.wasiliana nasi:advertise@digxam.site au Whatspp +8180 2071 7421 or click here.

Posted : May 25, 2024 7:44 am

Digxam

FREE
VIEW