June 14, 2024 10:51 pm
Topic starter
Hii Submeter inakupa uwezo Wa kuweka kiwango cha Unit zako mwenyewe kulingana Pesa uliyolipa. Na Unit zako zikiisha umeme utazima kwako peke yako. Wengine wataendelea kutumia Umeme. Ili kupata Unit zingine, Utanunua umeme utaweka kwenye Luku kuu ya Tanesco halafu utatengeneza Token kulingana kiwango ulichoweka Meter kuu ya Tanesco. Kisha utaziingiza kwenye Submeter yako na umeme utarejea kama kawaida kwako. Utengeneza Wa Token unachukua nusu dakika.Kuna mwenye swali?