Current Live Auction
Used Laptops 6 pcs Bofya Hapa.
iPhone 8 64 GB Shiriki Bofya Hapa
Galaxy Note20 Ultra 5G Bofya Hapa
Samsung Galaxy Note 10 Bofya Hapa
Used Iphone 11 GB 128 Bofya Hapa
iphone 8 GB 64 Gold Bofya Hapa
Toyota IST 2003 Shiriki Bofya Hapa
Share pages zetu ujipatie Zawadi kemkemke,kama Laptops,Simu Janja,Saa za smart nk,kujiunga Bonyeza Link
Naandika kwa uchungu sanaa!
kunasiku nilishiriki mnada hapa nikashinda nikalipia simu kutaka Japan baada ya weeki moja nikapigiwa simu posta kuichukua kiukweli baada ya muda nikatumiwa simu nikaipokea hakukua na shida yote kiukweli nilifurahi sana chakushangaza leo nimejikuta sina access ya kuingia nakushiriki minada hadi nilipe deposit au membership hivi amuoni kama mnatubagua watu wasio kuwana hizo membership?
Naomboa mkae mtafakari kama mkiendelea na utaratibu hii ni watu wangapi watakosa kukunu vitu kupitia kwenye hii plaform ya minada naona kama mumetuchoka?
Hata mimi ni mteja wenu nashida na simu ila utaratibu mpya umenikwaza nishendawa kujari bahati yangu hapo nomba mturuhusu twendelee na utaratibu wa zamani wakati mkiandaa utaratibu mpya.
Hawa siku hizi wamebadilika sana ukilinganisha na kipindi cha nyuma naona wanaanza kuota mapembe kuna kale karembo kanaitwa @Veronica-Victor kutwa kukucha kako busy mitandaoni kanatukana wataje wake,ukikaomba namba ya simu kanakuwa kakili kama pilipili sijui mnafanyaje biashara hivyo.
Sisi tuna hoja za msingi hapa bro tunaomba zisikilizwe angalau tuweze kushiriki minada sio mambo yenu ya kutongozana huko kwenye mitandao ya kijamii unayaleta hadi huku kwenye mamboa ya msingi malizane huko bhna?Hawa siku hizi wamebadilika sana ukilinganisha na kipindi cha nyuma naona wanaanza kuota mapembe kuna kale karembo kanaitwa @Veronica-Victor kutwa kukucha kako busy mitandaoni kanatukana wataje wake,ukikaomba namba ya simu kanakuwa kakili kama pilipili sijui mnafanyaje biashara hivyo.
@sabini Hizo kwako ndio hoja za msingi? unataka usilipe deposit wala membership kwenye minada ya onoline ukishiriki uka bid kisha ukakimbia tutakupa wapi nani anakujua kwako? wengine walipi alafu kazi yako iwe nikupandisha bei mnada ukiambiwa lipia ungie mitini kwasabu hunachakupoteza hii ni biashara acha umama kwaiyo kwako hizi ndio hoja acha ujinga bro kalipe deposit acha kulilia hapa ukimwaga ugali na sisi tunajua cha kumwaga.
@jasusi-mweusi 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Nimechaka sana hivi back benchers wanakulaga nini mchana huu?
@serengeti-premium-lager We nae ni palodi tu huna lolote siku ile ulitumbia tunywe SERENGETI RAGER tukutumie video tufungua vizibo utu refund pesa zetu tukakutumia video kibao ukalala mbele na mabo ya kishamba kaaa mbali na huu ugomvi.
Yamekuwa hayo sio kweli tuache tuvijinjali na huu mtandao wa kibishara zaidi,hapa wengine kijiwe chetu kila jioni lazima tuingie
Kwani inakuwaje mm ngeni hapa.
Pole sana kwa usumbufu uliojitokeza baada ya kufanya mabadiliko mafupi kutokana na malalamiko ya sellers na baadhi ya buyers kutokana na usumbufu wa kurudia minadaa kwasababu ya baadhi ya members kushindwa kutii kanuni za minada.
Kutokana na malalamiko haya tunaandaa utaratibu mpya kwa wale free members mtaweza kushiriki minada chini ya uangalizi wa mtu mwenye mnada wake kuanzia leo,ukiweka mnada wako mtu mwenye mnada na option ya kukubali offa za members wasio na deposit wala vifurushi vya aina yoyote,jukumu hili litakuwa chini ya mwenye mnada wake kukubali au kukataa offa yako.
Chini ya utaratibu mpya kila member atakayeomba kifurushi cha Free Auctions Trial ataweza kufika kwenye chumba cha mnanada na kushiriki zoezi la kushindania bidhaa ,approve zote za offa zenu kukataa au kukubali itakuwa chini ya mwenye mnada wake na sio admins wala moderators.
Members wote mlio comment hapa chini nitawapa kifurushi cha Auctions free Trial kwajili ya kukuweza kufika kwenye chumba cha minada,hiki kifurushi ni bure,kitadumu kwa muda wa mwezi moja tu,kisha utaomba tena.
Poleni sana kwa usumbufu utakaojitokeza endapo mwenye mnada atakataa offa yako au ku cancel kufuta au unapprove offa yako kwasaba ya yoyote mcheki moja kwa moja mwenye mnada wake badala ya kumcheki admins
@veronica-victor Safi sana unaakili sana mtoto wa kike, msala na mazonge umewaangushia watu wengine na usunbufu alafu Unakaa pembeni unawachora safi sana,online business inatakiwa watu wenye akili mingi kama wewe sasa hawa akina @sabini njoo umejibiwa vizuri.
Hiko hivi ujanja na usumbufu online nirahisi sana kuudhibiti ndio maana ya mfumo au software uwezi kuleta usumbufu wako wa huko mtaani kwako kwenye software utashangazwa utoamini.
@jasusi-mweusi Hakuna ujanja wowote hapo boss ni mtazamo wako tu.
@veronica-victor tulio somea Quba tumekuelewa ulivyo funga gori kwa tikictaka.
@veronica-victor You are very smart madam badilika ndugu zangu tuko kwenye ulimwengu tofauti acha uzembe mnatungusha.
Nimejaribu si kuweza kuingia
Kwenye mnada wangu siwezi kukubali utani kama ule mlinileta kwenye minada ya nyuma,i think madam you wasting time bila deposit kaa kusho huu ni utoto tunafanya.