1.JINSI YA KUJISAJILI.
Baada ya kufungua website fanya mambo yafutayo:-
2.JINSI YA KUFUA MENU.
Bonyeza kwenye mistari mitatu kupata menu ya kwajili ya kujisajilia,kama kama inavyoonekana chini.
a)Baada ya kubonyeza itakuja menu hapo chini ya hiyo mistri,kama inavyoonekana chini.
b)Bonyeza neno Register kwajili ya kujisajili angalia hapo chini.
c)Baada ya kubonyeza muonekano utakuwa kama hapo chini panavyoonekana.
3.USAJILI UKIKAMILIKA.
4.USAJILI UKIGOMA FANYA MAMBO YAFUTAYO.
Wakati wa usajili ujumbe ujumbe wa errors ukawa na rangi nyekundu.
1.Password hazifanani
2.Majina ya kiwa marefu zaidi pia inagoma
3.majina ya kifanana na mtu mwingine ambaye yayari kajisajili inagoma na kutoa ujumbe wa badili jina tumia lingine.
4.Hakiki email yako.
4.Ikitoka imegoma kusajilia jina lako kwa mala ya kwanza kabla ya kubadilisha kitu chochote rudia password zako upya,tick kwenye box la rules na Policy tuma tena malaya pili itakubali kama ni majina marefu.
4.BAADA YA KUKAMILA USAJILI.
Jinsi ya kupost biashara zako kwenye forums fanya mambo ya futayo:-
Chagua jukwaa unalotaka kulitumia kati ya majukwaa yalipoa hapo.
3.nfano BUY & SELL IN TANZANIA
a)Bonyeza kwenye BUY & SELL IN TANZANIA (zitafunguka Topics zote utaweza kuona title au vichwa vya habari vya topcs zote kwenye hilo kundi.
b)Bonyeza kwenye kichwa cha habari ili kusoma topic na kuona picha za bidhaa kama inavyoonekana hapo chini.
Baada kuna maeelzo ya picha na bidhaa unaweza kutoa maoni yako hapo chini kwenye sehemu ya comments.
5.JINSI YA KUPOST BISHARA ZAKO.
1.Chagua jukwaa unalotaka.
2Bonyeza kwenye Forum title.
3.Bonyeza kwenye new topic.
6.JINSI YA KUNADIKA KICHWA CHA HABARI .
7.JINSI YA KUNADIKA UJUMBE
8.JINSI YA KUWEKA PICHA
7.JINSI YA KUWEKA PICHA
9.JINSI YAKU SUBSCRIBE TOPICS
9.Add topic.
10.waiting for admin to approve your content .
11.After Approving ,share kwenye mitandao ya kijamii.
12.RUHUSA YA KUINGI KWENYE MASOKO MAJIKWAA AU FOROMS KAMA KABLA YA KU LOGIN AU KUJISAJILI.
Kuna baada ya category inakulazimu ku loin au kujisajili iliuweze kuingia kuona na kushiriki,angalia nfano hapo chini.
13.BAADA YA KUJISAJILI AU KULOIN KUBADAADHI YA CATEGORES ITAKULAZI ULIPIA ILIWEZE KUINGI KUONA NA KUSHIRI
Nfano hapo juu ukikutana na ujumbe huu ukiwa umejisajili ujue unatakiwa kulipia ili uweze kuuza na kununua kwenye hiyo category.
14.UNAWEZA KUINGIA KWENYE BAADHI YA CATEGORES UKAONA LAKINI USIWEZE KUWEKA POST YAKO AU KUANDIKA COMMENT YAKO
Sehemu ya kuandika New Post inakua imejificha na sehemu ya comment inajifi kwaiyo uwezi kufanya chochote hadi kulipia.
15.KUCHAGUA KIFURUSHI.
kucha vifurushi kulingana na mahitaji yako BonyezaHapa
16.BAADA KUCHAGUA KIFURSHI JINSI YA KULIPA
17Lipia Kifurushi chako kwanjia rahisi sana za bank au tumia Simu yako bonyeza hapa
18.Baada ya kulipia tuma ricept yako ya malipo kwa admin bonyeza hapa.
8.Kurudi Mwanza Bonyeza Hapa
Share pages zetu ujipatie Zawadi kemkemke,kama Laptops,Simu Janja,Saa za smart nk,kujiunga Bonyeza Link
Umefanya vizrusina kunasehemu nikua sielewi kitu umefanya vizuri lakini bado kuna sehemu nyeti unatakiwa kuzitolea maelezo.
Mbona siongumu kutumia hii!
Simple sana kutimia hii.
Mwanzo ilinitokijasho.
Safi sana.
Asante kwa taarifa.
Jinsi ya kuweka picha.
Hii site yenu ni mzuri sana.
SaSI SANA