Asante kwakuwa mteja wetu wa thamani, Ahadi yetu nikuendele kukapa huduma bora za mtandaoni.Karibu mpate huduma zenye viwango vya kimataifa kama ifuatavyo:
Asante kwakuchagua Digxam tunaomba maoni yako kwenye comments section .
Asante kwa huduma bora za Digital Services, Kuna changamo bado kwenye kwenye mifumo ya malipoa naomba mkaifanyie kazi hadi next Year kila kitu kiwe sawa.
@full-dose Asante sana kwanchango wako,Ulikuna na changamoto gani kwenye nfumo wa malipo tuifanyie kazi.
@digxam Kuna siku nilifanya malipo kwa seller Japan ilichukua siku mzima kupata taarifa ya muamala kwama,maoni yangu hii ni mbaya sana kwa Digital Platform kubwa kama hii yenye malengo kakubwa kiukweli sikufurahia kabisa,naomba next time nikifanya malipo Seller afanye confirmation papo kwa hapo tofauti na hapo itakuwa aileti maana ya Digital Platform itakuwa Analogy Platform.
Kidogo kuna jambo limenikwaza sana,leo naomba niliseme hapa mwezi uliopita niliagiza Gari la mteja wangu kwakutumia account zangu za bank nikatma hella Japan, nikamtumia Majina ya mteja wangu ili Gari likifika liasome majina yake moja kwa moja lakini chakushangaza juzi nilitumiwa BL zinasoma jina langu nakamcheki Seller akaniambia ningumu kubalisha majina kwasabu pesa zimetoka kwenye account yangu je hii ikosawa admin?
@lucas Pole sana,nemejaribu kutafuta hizo thread yenye makubaliano sijaiona hapa naomba kujua mliwasilina kwanjia zipi hadi kufikia hatua hiyo,kama ni kwenye jukuwa la Magari naomba unitumie link.
2.Kama Meli imefika itakuwa ngumu kufanya amendment kwenye BL.
3.Lakini kama meli bado ikonjiani sio tatizo amendment itafanyika bila gharama yoyote, leta hiyo link ya makubalino tuone hoja za Seller ni zipi.
@lucas Pole sana,nemejaribu kutafuta hizo thread yenye makubaliano sijaiona hapa naomba kujua mliwasilina kwanjia zipi hadi kufikia hatua hiyo,kama ni kwenye jukuwa la Magari naomba unitumie link.
2.Kama Meli imefika itakuwa ngumu kufanya amendment kwenye BL.
3.Lakini kama meli bado ikonjiani sio tatizo amendment itafanyika bila gharama yoyote, leta hiyo link ya makubalino tuone hoja za Seller ni zipi.
@lucas Sawa nimeona Pole sana,ukiangalia hapo nime comment chini ya hiyo thread yenu ya makubaliano, Kwakifupi amendment ya BL kubadilisha Consignee kutoka kwako kuja kwa Mteja wako itafanyika bila gharama yoyote as longer as Gari bado kufika kwenye final Destination .Fanya mambo ya fuatayo,mtumie seller kwajilia ya amendment :
Kama unaswali maoni mapendekezo naomba nikusaidie,
@digxam Asante sana!
Nimetuma kila kitu vipi itachkua muda gani?
Jambalingine naomba Car Dealers tuanamba tupate access ya kufanya adding content zetu kwenye jukwaa angalau moja la Magari, hii imekuwa changamoto sana kwetu hata kama wengine wamekaa kimya nitawasemea,nfano mtu ukikosea herufi au sentensi inabaki hivyo hivyo wakati mwingine mteja anashindwa kulewa ulitaka kusema nini pia simu kuna muda uandika maneni ya matusi bila mtu kujua hivyo naomba masaada kwenye hili.
@lucas Amendment ndani ya masaa 24 itakuwa tayari relax.
Kuhudu access ya kufanya editing iliondolewa kwa sellers wote kwasababu ya undanganyifu baadhi ya Sellers wanafuta makubaliano ya awali wanapachika uongo mwisho Buyers wakalalmika sana pia na baadhi ya Buyers waongo ikabidi hii huduma ifungwe.
Kuanzia kesho Tarehe 08/10/2023 tutarudishwa hizo access kwa watumiaji wote kwa masharti ukifanya maboresho yoyote kwenye Posts zako au kwenye comments zako baada yaku repost zitakua invisible kwenye public hadi @Admin azipitie na kufanya approving hivyo kuweni makini unapo chati na mteja wako kabala ya kutuma preview soma malambi ondoa makosa kabla ya kutuma.
Tunakaribisha maoni na ushauri.
Ngoja niwachangie,hasente kwa huduma bora.
@sniper asante sana!
Tayari nimekuunga na kifurushi cha 30,000 cha mwaka.
Swali langu moja tu simple Digxam nini?
@sweetheart Asante sana kwakuliza swali,Digxam ni mtandao wa Biashara Duniani kwanjia za kidigital
Kwa majina naitwa Mbuta Likasu napenda vile hii inatumika muzuri sana.