@amos Unataka bsikeli ya watoto watu wazima, maintain au aina gani boss?
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darβ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.β β ππͺππΏ
Unataka baiskeli ya aina gani boss na size ngapi?