Tunasaidia watu wanaotaka kwenda nje ya nchi kwajili ya matibabu
(@rola)
700K Trade Bond
Joined: 2 years ago
Posts: 18
Topic starter August 17, 2026 5:12 am [#1395] - Kama unahitaji kuja India kwajili ya matibabu comment hapa
- Kama unahitaji msaada wavitu vifuatavyo kwawale wanataka kuja India kwajili ya matibabu naomba ukoment chini.
- Kutafutiwa Hospitali kulingana na Ugonjwa unaoumwa
- Kuatafutiwa Usafiri wa kukupokea aiport
- Kutafuta sehemu ya kukaa kipindi unatibiwa
- Kama unahitaji kuagaiza madawa
- Mtu wa kufafanua kiswahili kila hatua
Super Globals
Options and Features