Habari Guys!
Nimekuwa nikipokea jumbe nyingi sana kwanjia ya private MSG watu wakitaka tuwe na mausiano ya kimapenzi baadhi wakitaka tuwe wachumba na wengine akitaka kunioa wengine wakitaka tutoke wote out na mambo kama haya mimi siwapingi anyway sio jambo baya ni nfumo wa maisha uko hivyo kwanza niwashukuru sana kwakunipenda asanteni na mimi nawapenda pia,kama unataka chochote namba ya simu kilakitu njoo hapa nitakupa.
Kwakifupi bado niko single kama wewe unayenitumia meseji za mapenzi usoma ujumbe huu sio mbaya ukaja hapa ukanimbia unatakaje kama unataka kunioa au unataka uchumba auna mausiano vyovyote njoo hapa umwage sera zako hapo kisha mimi nitawasikiliza kisha nitachagua moja,lakini ukitumia ujumbe wa privete plaase sitakujibu kwasabu utakauwa unatumia platform amabya sio sahii hapa ndio seheme ya wanaume wote mnaonitaka mkamwage sere zenu niwasikilize sinashida na mchumba mwenye mali pesa sijui vitugani Elimu hapana nahitaji mchumba anajue kujieleza vizuri tu.
Kule kwenye mitandao ya kijamii nikwajili ya hii kazi zangu zinazoniweka mjini please naomba usichanganye haya mambo kama unahitaji huduma yoyote kuhusu online business kama kuuza bidhaa zako kupitia kwenye platform zetu au kama unataka kujua bei ya matangazo ya biashara na huduma zote tunazozitoa unaweza kutuma private msg, kama ni mambo ya mapenzi njoo hapa niambie nitakujibu asante sana.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 nimecheka sana ila wewe ni chizi khaaa.
@jayleen Uchizi wangu ni nini au ujui thamini ya mwanamke kuolewa eeh ayayaah kuolewa nitarudi nyumbani kutembea shida nini hapo.
Yaani full vibes
Nakupenda Vero hadi naumwa natamani unikubalie niwe mpenzi wako yaani.
@full-dose Bado hujasema ebu panga mistari yako vizuri nakusikiliza niko hapa.
@veronica-victor Ni hayo tu,nimetoa ya kumoyo niko huru kazi kwako
@full-dose Sawa nimekusikia ngoja nilinganishe mistri yako na wachumba wengine ili nipate the best choice kwakifupi jimbo liko wazi kama kunamtu analitaka achukue form twende kwenye mchujo.
Haya kazi Kwenu wototo wa kiume mzigo uko mezani unatafuta mwenza ushindwe mwenyewe kumwaga sera. 🤩
Halooooh mimi napita nasoma comments huku nakula chips zangu 🍟
@jayleen Ngoja niingie live niwachee Comasava wachangamke .
@suzani 😊 😊 😊 Naomba chipzii na kidogo namie nichangamshe tumbo.
Jamani wachumba mkuje huku nawangojea mwezio najua kupika najua kufua najua kuimba na kucheza Comasava atakaye bahati atapata wife material, hii nafi sio ya kukosa.
@veronica-victor Ukosawa mrembo nakuhitaji sana uwe mke wangu watatu umeniteka moyo wangu cc@kabandwa
@ngaliba Simu inatoka kwa mshindi baada ya kumaliza zoezi la kupiga kura nakukabidhiwa jimbo lako.
Vero umefanya vizuri sana kufungua huu mjadala kwasababu nilikua naumia sana nikikutuma meseji zangu hujibu unapoteza binafsi nakupenda sana najiamini popote nitakueleza ukweli wangu bila kujali ni wapi.
Vero umefanya vizuri sana kufungua huu mjadala kwasababu nilikua naumia sana nikikutuma meseji zangu hujibu unapoteza binafsi nakupenda sana najiamini popote nitakueleza ukweli wangu bila kujali ni wapi.
@veronica-victor kwani mm Nanini?
Niliomba nafasi ya kwenda Vacation SouthAfrica nikaambiwa kumejaa nilitaka kutumia nafasi hii kupenyeza application zangu?
@lucas 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 We kiboko ulichelewa nafasi zilitangazwa muda,ungenikuta nishafika hapa nawangojea watu waliochaguliwa tukutane hapa tufarahi na Digxam.