Natafuta Engine ya Mitsubishi Pajero V6 na Geabox yake.naomba bei na picha.
Hiyo inatakiwa 3ml
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
Nilipata hapapa boss siku nyingine.
@kidedea Poa Karibu sana.