Niko hapa SouthAfrica mtu yoyotete anayetaka spare za magari niambie ainagani ya Spare.
Safi sana.
Napita mkuu
Nahitaji Bump la mbele na Fortune na Taa zake.