Notifications
Clear all

Camera zinatakiwa

3 Posts
3 Users
0 Reactions
295 Views
Uhai
 Uhai
(@uhai)
Posts: 10
Karibu! Current Balance 300,000
Topic starter
 
Habari mkuu,hii connection ya Japan imetulia sana mko vizuri sana,shida yangu ni moja naomba tuingie makubaliono ya kuniuzia Camera na Lens niko tayari kuweka depost ya milioni 10,000 kwenye account yenu kwa makubaliano ya kila mtu akitaka Camera kwenu watu wote wadirect kwangu niwauzie  mimi,

Pili mnitengeze platform yangu kwajina langu la biashara hapo juu kwenye jukwaa la  Japan Import Export Online Trade hii itawapungunzi requests za Camera na Lens tugawane majukumu.

Posted : March 11, 2024 6:17 am
Dickson Asanga
(@dickson-asanga)
Posts: 36
DIG-PESA
 
Interested

Posted : March 12, 2024 7:24 pm
(@Anonymous 1)
Posts: 247
 
Posted by: @uhai

Habari mkuu,hii connection ya Japan imetulia sana mko vizuri sana,shida yangu ni moja naomba tuingie makubaliono ya kuniuzia Camera na Lens niko tayari kuweka depost ya milioni 10,000 kwenye account yenu kwa makubaliano ya kila mtu akitaka Camera kwenu watu wote wadirect kwangu niwauzie  mimi,

Pili mnitengeze platform yangu kwajina langu la biashara hapo juu kwenye jukwaa la  Japan Import Export Online Trade hii itawapungunzi requests za Camera na Lens tugawane majukumu.

Ngumu.

Posted : March 12, 2024 11:11 pm

Digxam

FREE
VIEW