Register Your Account To day click Here
Topic starter
March 7, 2024 3:10 pm
Kama wewe ni fanya biashara mdogo mwenye mtaji wa kuanzia 1ml hadi 5ml hii huma inakuhu agiza bila kulipia mzigo wako kisha utalipia mzigo wako ukifika Dar Es Saam.
- Kuna Engines
- Kuna milango
- kuna vioo
- kuna Taa
- kuna Capets
- Kuna mudguards
- Kuna Viti vya magari
- Kuna body za magari.
Mashari na vigezo kuzingatiwa,
- Lesen ya Bishara
- TIN namba
- Ofice
- Trust Membership
Share pages zetu ujipatie Zawadi kemkemke,kama Laptops,Simu Janja,Saa za smart nk,kujiunga Bonyeza Link
March 7, 2024 3:20 pm
Hii umepigaje hii?
March 7, 2024 3:29 pm
Hako kakipengele ka mwisho nishida 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
March 7, 2024 3:33 pm
Safi sana ngoja tuchangamkie fursa hizi 🤗 🤗 🤗 🤗
March 7, 2024 9:01 pm
Je kama ndio nataka kuanza biashara inakuwaje nfano niagize mzigo ukifika ndio nianza biashara.